RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Dini ya Kiislamu alipowasili Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 16-5-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa msikiti huo, na kujumuia na
Wananchi katika Sala ya Ijumaa

Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril
Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo
16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa
Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar
Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed

Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Msahafu
na Sheikh Mohamed Omar Alsheikh Juda, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid
Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika
leo 16-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi
baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Fuoni
Bwiti, baada ya kuufungua msikiti huo leo 16-5-2025.

No comments:
Post a Comment