Kjiko cha Kampuni ya MECCO inayojenga barabara ya ndani ya Kilimani ikichimbua barabara hiyo kwa ajili ya ujenzi na kuimarisha miundombinu ya barabara za manispaa ya Zanzibar.
Wizara ya Mawasiliano Yakabidhi Kompyuta 30 Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
-
Na Mwandishi Wetu, WMTH – Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed
Khamis Abdulla, amekabidhi kompyuta mpakato (...
2 hours ago
Hii ni nzuri, ila mbona ile ya Fuoni imesita
ReplyDelete