Habari za Punde

Mwenyekiti wa Mpya wa CCM Rais Dkt.Magufuli Apokelewa kwa Vifijo na Nderemo na Mamia ya Wana - CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa katika uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016
 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa katika uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam leo.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipiga ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam leo
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam leo
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM  jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016. Anaongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana na Naibu Katibu Mkuu Ndg Rajabu Luhwavi.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM  jijini Dar es es salaam leo.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya kupokelewa kwa nderemo na vifijo Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es es salaam leo
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipiga tumba baada ya kuongea na wana-CCM nje ya  Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM  jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.