Habari za Punde

Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (kushoto) akifungua Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC)katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar  es Salaam leo jioni,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.
 Baadhi ya warishiki katika mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) wakimsikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akiugungua mkutano huo leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto ) akizungumza   kutoa salamu zake katika mkutano wa 17 wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki EAC uliofanyika leo Ikulu ya Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli leo kabla ya kuanza kwa kikao cha   17 cha Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar  es Salaam leo jioni,[Picha na Ikulu.] 08/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.