Habari za Punde

Rais Dk Shein atembelea ghala la karafuu Mkoani Pemba

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani leo akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo,[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Bakari Haji Bakari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani leo akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo,[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.
 Baadhi ya Karafuu zilizonunuliwa kwa wananchi jumla ya tani 183 zikiwa zimehifadhiwa katika ghala la ZSTC Mkoani ambazo tayari kwa mauzo,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) leo  alitembelea ghala hilo, [Picha na Ikulu.] 11/09/2016.

 Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali (kushoto) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani leo akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo,(kulia) Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman,[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimuliza suala kwa Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani leo akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo (katikati) Wiziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali,[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mwenye kipaza sauti) alipokuwa akizungumza na Wananchi na wafanya bishara wa zao la karafuu wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo (kushoto)  Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman,[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.