Habari za Punde

Hospitali ya Abdalla Mzee yakabidhiwa rasmi kwa Wizara ya Afya

 VITANDA vipya vilivyomo ndani ya hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, ambayo imejengwa upya na baadhi ya majengo kufanyiwa ukarabati mkubwa na serikali ya watu wa China, na tayari imeshakamilika na kukabidhiwa rasmi kwa wizara ya afya Zanzibar, halfa iliofanyika hospiatali hapo,(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MADAKTARI wa kichina na baadhi ya wafanyakazi kwenye ubalozi mdogo wa China Zanzibar, wakizitayarisha bendera ya Zanzibar na ya China, kwenye hafla ya kusaini hati ya makabidhiano ya hospital ya Abdalla Mazee Mkoani Pemba kwa wizara ya Afya Zanzibar, hafla iliofanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANANCHI na viongozi kadhaa waliohudhuria makabidhiano ya hospitali mpya ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, baina ya serikali ya watu wa China na wizara ya Afya Zanzibar, iliofanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya viongozi kutoka ubalozi mdogo wa China uliopo Zanzibar ukiongozwa na balozi huyo (wa nne kutoka kulia) Xie Xiaown na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakiwa tayari kushudhudia makabidhiano ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, ambayo imejengwa upya na serikali ya watu wa China, hafla hiyo ilifanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
DAKTARI Mkuu kanda ya Pemba, Mbwana Shoka Salim, akielezea utaratibu wa shughuli ya kusaini makabidhiano ya hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, iliojengwa upya na serikali ya watu wa China, ambapo makabidhiano hayo yalifanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BALOZI mdogo wa China hapa Zanzibar Xie Xiaown muda mfupi baada ya kusaini hati ya makabidhiano ya hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani kwa wizara ya Afya, iliowakilishwa na Katibu Mkuu dk Juma Malik Akil, hafla hiyo ilifanyika hospitalini hapo, wanaoshuhudia ni Waziri wa wizara hiyo Mahamoud Thabiti Kombo na Naibu wake Harusi Said Suleiman, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANANCHI na viongozi kadhaa waliohudhuria makabidhiano ya hospitali mpya ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, baina ya serikali ya watu wa China na wizara ya Afya Zanzibar, iliofanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAJENZI kutoka serikali ya watu wa China, ambao wameshakamilisha kazi hiyo, kwenye hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, wakishuhudia makabidhiano ya hospitali hiyo baina ya serikali ya watu wa China na Wizara ya Afya Zanzibar, halfa iliofanyika hospiatali hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 NAIBU waziri wa afya Zanzibar Harusi Said Suleiman, akizungumza kwenye hafla ya kusaini hati ya makabidhiano ya hospital ya Abdalla Mazee Mkoani Pemba, kwa wizara ya Afya Zanzibar, na serikali ya watu wa China,  hafla iliofanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAZIRI wa Afya Zanzibar Mahamaoud Thabiti Kombo, akizungumza na madaktari na wananchi wengine, mara baada ya wizara hiyo, kukabidhiwa hospitali mpya ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, iliojengwa na serikali ya watu wa China, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

HEIKH Salmin Ussi Sheha wa Mkoani Pemba, akitoa neno la shukuran na dua, mara baada ya kumalizika kwa hafla ya makabidhiano ya hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, baina ya wizara ya Afya na serikali ya watu wa China, hafla hiyo ilifanyika hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.