Habari za Punde

Waziri wa Habari , Utalii , Utamaduni na Michezo ziarani Pemba

Waziri wa Habari , Utalii , Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Rashid Ali Juma, akizungumza na Watendaji wakuu  wa Wizara ya Habari Pemba , kabla ya Kamati ya Mifugo, Utalii , Uwezeshaji na habari kuanza ziara ya kutembelea Wizara ya Habari Pemba.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mifugo , Utalii , Uwezeshaji na Habari ya baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Ali Suleiman Ali (Shihata) akizungumza na Watendajiwa Wizara ya Habari na Wizara ya Uwezeshaji kabala ya kuanza ziara za kamati hiyo huko katika ukumbi wa kiwanja cha Gombani Chake Chake Pemba.

Watendaji wa Ofisi ya Uwezeshaji na Wizara ya Habari Pemba, wakimskiliza Mwenyekiti wa kamati ya Mifugo , Utalii , Uwezeshaji na Habari. Ali Suleiman Shihata, huko Gombani Pemba.
Waziri wa Habari, Utalii , Utamaduzi na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rashid Ali Juma, akitowa maelezo ya uwekaji wa Tatan katika Kiwanja cha Michezo cha Gombani kwa Kamati ya Mifugo Utalii , uwezeshaji na habari ilipofanyaziara ya kuangalia maendeleo yaliofikiwa na wizara ya habari Pemba, ya uwekaji wa mpira wa

kukimbilia Tatan.

kukimbilia TATAN.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.