Habari za Punde

Mchango wa mtoto Ummu Salama tayari Milioni moja laki nane zimepatikana tuendelee kumchangia

Assalamu alaykum, taarifa ya maendeleo ya  Mchango ya Ummu Salama Mpaka tarehe 21/12/2016 pesa zote  tulokusanya ni shilingi milioni 1 laki 8 na 95 elfu. (189500) Alhamdulillah.
Mchango unaendelea na tunazidi kuomba watu wazidi kujitokeza.
ShukranKwa wale walioko UK unaweza kutuma mchango wako kupitia

Saba Traders Sort 090128  Account 78395061 (Santander)

Au wasiliana na Balozi mob 07846255735

Tafadhali unapochangia kwa kutumia akaunti weka ref Abuu Zam.

Vilevile nijuulishe kwa whatsapp +447947468729.

Kwa wale waliopo USA, Europe au Gulf unaweza kutuma kwa kupitia Western Union Anapokea Abuu Zam Tafadhali nijuulishe kwa  whatsapp +447947468729.

Kwa waliopo Tanzania nipigie simu kwa whatsapp au simu Zantel +255777917870.

Au unaweza kuwasiliana na mama wa mtoto na kumtumia moja kwa moja wasiliana nae kwa +255777257269.

Shime ndugu zangu tujitahidi kumsaidia mtoto huyu kwani Mtume Swalla Allaahu ‘alayhi Wasallam anasema Mwenye kumpunguzia Muislamu mwenzake mtihani katika mitihani ya kidunia, Allaah atampunguzia mitihani yake katika mitihani ya kidunia na akhera.


Siku ya mwisho kupokea michango ni Ijumaa tarehe 23/12/2016 Bi ithni Llaah

Wabillaahi Tawfiyq

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.