Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Ajumuika na Familia Katika Kuuaga Mwili wa Brigedia Jenerali Mhaiki Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) ​akifuatana na W
​aziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.​
​Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) wakati Rais alipofika leo katika Hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam kwa ajili ya kuuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi hospitalini hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi,[Picha na Ikulu.] 16/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ​akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki, aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,ambae alifariki juzi katika  hospitali  ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo JIjini Dar es Salaam,baada ya kuugua kwa muda mfupi na kuagwa leo 

Jeneza lenye Mwili wa 
Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki  aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali  ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo   Dar es Salaam,ukibebwa  na askari kupelekwa sehemu maalum ambapo utaagwa rasmi leo kabla kupelekwa kijijini kwao kwa mazishi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) ​W
​aziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.​
​Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) wakiwa katika Kambi ya Jeshi la Wananchi Lugalo Dar es Salaam leo   kuuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki 
aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo, baada ya kuugua kwa muda mfupi
Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ waliofika leo katika hafla ya kuuaga Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo, baada ya kuugua kwa muda mfupi,ambapo utaagwa leo katika Hospitali Lugalo Dar es Salaam
Wananchi mbali mbali na jamaa waliofika leo   kuuagawa  Mwili wa 
Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki 
aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi pamoja na Wazee wa Chama leo walijumuika na Maaskari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika kuuaga Mwili wa 
Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki 
aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa ​akitoa heshima ya mwisho leo kwa  mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa ​akitoa mkono wa pole kwa wanafamilia wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi, 
​baada ya kutoa ​
heshima ya mwisho leo,kwa 
 mwili wa 
​Marehemu,​
​ 
[Picha na Ikulu.] 16/12/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.