Habari za Punde

Timu ya BLW yaishinda Kigamboni Veteran 3-2 katika mchezo wa kirafiki

 Mgeni rasmin katika mchezo wa kirafiki Kati ya Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Timu ya Kigamboni Veterani Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo, Mhe Rashid Ali Juma akiwa na muamuzi wa Kimataifa wa FIFA Mstaafu Kibo wakielekea kukagua timu hizo kabla ya kuaza kwa mchezo huo. uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda 3--2

 Kikosi cha Timu ya Baraza la Wawakilishi kilichocheza na Timu ya Veterani wa Kigamboni ya Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Baraza la Wawakilishi imeshinda 
3--2. 
Kikosi cha Timu ya Kigamboni Veterani kilichokubali uteja kwa Timu ya Baraza la Wawakilishi katika mchezo wa Kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hiyo imekubali kipigo cha bao 3--2.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.