Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar Wakiwa katibu Bustani ya Forodhani Kuukaribisha Maka Mpya wa 2017 Usiku Huu


Wananchi wa sehemu mbalimbali za Zanzibar na wageni waliofika Zanzibar wakiwa katika viwanja vya bustani ya forodhani wakisubiri kuukaribisha mwaka mpya na kuuaga mwaka 2016 katika viwanja hivyo kwa kupata vyakula mbalimbali vya kizanzibar katibu bustani hiyo. Usiku huu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.