Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Makamo wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea KOICA Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea  KOICA Bw.Wooyong Chung   akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini  Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]10/01/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akizungumza na  Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea  KOICA unaoongozwa na Makamo wa Rais wa Shirika hilo Bw.Wooyong Chung (wa pili kulia) mara  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]10/01/2017.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.