Habari za Punde

Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar  leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe, Haji Omar Kheri wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu  ya Zanzibar leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimishio ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwaangalia wafanyakazi wa Shirika la ZSTC wakitoa uchafu katika Karafuu zinazotayarishwa kwa mauzo  ambazo huingizwa  katika chupa na kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo  wakati alipotembelea kazi hizo leo katika  uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kwa Asmahani Abdulkadir alipotembelea Karafuu zinazotiwa katika chupa kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo  wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar  leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la ZSTC na Wananchi waliohudhuria katika  uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjin Unguja leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake katika hafla hiyo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) kuzungumza na Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Baadhi ya Viongozi waliohudhuria nkatika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar  huko Saateni Mjini Unguja leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake katika hafla hiyo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi  katika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi  katika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali na (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la ZSTC Maalim Kassim Suleiman , [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la ZSTC Maalim Kassim Suleiman (katikati) baada ya kumalizika hafla ya Uzinduzi wa   Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akinyanyua Nembo ya KARAFUU kama ishara ya Uzinduzi wa  Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar,uliofanyika leo  huko Saateni Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya  miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali,(kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSTC Maalim Kassim Suleiman,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.