Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Korea Kusini Bw.Song Geumyoung wakati alipofika Kwarara kuzindua Skuli ya Sekondari na Kituo cha Elimu ya Habari leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma na (kulia) Makamo wa Rais wa KOICA -Korea Bw,Chung Wooyong
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Lazaro Ndalichako wakati alipofika Kwarara leo kuzindua Skuli ya Sekondari na Kituo cha Elimu ya Habari ,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi na Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma na (kulia)Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Lazaro Ndalichako.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuizindua Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA) ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),kiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar (kushoto) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee, akifuatiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,wakiwepo na Ujumbe wa Koica
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Fatuma Ahmed,wakati alipotembelea Chumba cha Studio baada ya kufanya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari katika Skuli hiyo leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),kiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa ICT Omar Said Ali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Studio katika Kituo cha Elimu ya Habari akiwa na Viongozi aliofuatana nao baada ya kuzindua rasmi Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),kiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),kiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia kwa makini harakati zinazoendelea katika hafla hiyo iliyofanyika leo
No comments:
Post a Comment