Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni
ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya
Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati
hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi wa
zahanati ya Madaba amewataka waendele na moyo waliokuwa nao wakuwapenda
wagonjwa na kuwahudimia kwani serekali inatambua mchango wao wanaoutoa kwa
taifa
Waziri Mkuu Mkuu Kassim
Majaliwa akiwahutubia wananchi wa madaba amabao waliojitokeza jitokeza
kwawingi amabapo waziri mkuu alitumia nafasi hiyo yakuwaelezea juhudi za
serekali za kuwasaidia wananchi katika sekta mbali mbali ikiwemo Huduma ya bima
ya afya Waziri mkuu yupo mkoani Ruvuma
kwa ziara ya kikazi(Picha na Chris Mfinanga)
No comments:
Post a Comment