Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Azindua Semina Elekezi ya Ujasiriamali Kwa Vijana wa Wilaya ya Ubungo.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kuliapamoja na Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Kinondon ndg:Said Masanga wakionja bidhaa ya dagaa zinazookwa na wajasilia mali wadogowadogo wilaya ya Ubungo.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akionyeshwa shati la batiki moja ya bidhaa  zinazotengenezwa wajasilia mali wadogowadogo wilaya ya Ubungo.
 Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ubungo Leah Mbeke akizungumza
Baadhi ya Vijana walioudhuria Mafunzo ya Ujasilia Mali UVCCM Ubungo yalio fungulia na Ndg:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka katika Ukumbi wa Texaz Manzese
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza katika Semina ya mafunzo yaUjasilia mali ya Vijana yaliofunguliwa Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka
Baadhi ya Vijana walioudhuria Mafunzo ya Ujasilia Mali UVCCM Ubungowakishangilia
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa Tatu kulia akicheza Burudani ya Muziki pamoja na Vikundi vya Sanaa Vilivyo tumbuiza.
 Kijana akipiga pushap
''Viongozi wa UVCCM Wilaya zote nchini fuatilieni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020,Hakikisheni asilimia 5 inayotolewa na kila Halmashauri nchini zinawafikia Vijana''Aliyasema Ndg:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakati akifungua Semina ya Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana wa Wilaya Ya Ubungo Katika Ukumbu wa Texaz Manzese

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.