Kamishna wa Vibali na Pasi nchini, Musanga Etimba akitoa maelezo kwa mwananchi
Oliver Gabriel, aliyetembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Maonesho ya 41
ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere bara bara ya Kilwa, jijini Dar esSalaam
Mwananchi aliyetembelea Banda la Idara ya Uhamiaji, Bi.Oliver Albert akiuliza maswali kwa Kamishna wa Vibali na Pasi nchini, Bi.Musanga Etimba baada ya kutembelea Banda
la Idara hiyo katika Maonesho ya 41
ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere bara bara ya Kilwa, jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Mdhibiti wa Pasipoti nchini, Mrakibu Mwandamizi Peter Mwitwa
Mkaguzi wa Idara ya Uhamiaji nchini,Ndg. Mustafa Kipingu
(kushoto), akitoa huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Idara hiyo katika Maonesho ya
41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere bara bara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam
Mrakibu Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji, Kitengo
cha Uhusiano Ndg. Aziz Kirondomara (kushoto) ,akitoa huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda
la Idara hiyo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere bara bara ya Kilwa, jijini
Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment