Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Ofisini Kwake Vuga Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem, alipomtembelea Ofisini kwake kwa mazungmzo leo wakifurahia jambo wakati wakisalimiana. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem alipofika Ofisini kwake Vuga Zanzibar kwa mazungumzo leo 29-8-2017. 
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Nasjem akizungumza na mwenyeji wake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika ofisini kwake Vuga Zanzibar kwa mazungumzo leo.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem akisisitiza jambo wakati wa maongezo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kwa mazungumzo leo Zanzibar.

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem akimkabidhi zawadi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Ofisi ya Makamu Vuga Zanzibar. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimksikiliza Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem baada ya mazungumzo yao na kumuaga, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Makamu Vuga Zanzibar.  
Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Ofisi ya Makamu Vuga Zanzibar leo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiagana na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem baada ya mazungumzo yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.