Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Makamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Mohammed Fakih Mohammed  kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Balozi Hussein Said Khatib kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Mkuu Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Mabrouk Jabu Makame kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Ali Rajab Juma  kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Issa Mohammed Suleiman  kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Rukia Mohammed Issa  kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.