Habari za Punde

Ujumbe wa Kampuni ya Dar Al-Handasah Kutoka Nchini Cairo Yatembelea Uwanja wa Ndege Pemba Kwa Ajili ya Upanuzi Wake Utakaofanywa na Kampuni Hiyo.

Naibu Katibu Mkuu  Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji  Ndg.Shomar Omar Shomar, akiwa katika Kikao cha pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya Dar Al-handasah kutoka Cairo, ambayp itafanya Upembuzi yakinifu kwa

ajili ya ujenzi wa Kiwanja cha ndege hapo baadae.

Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar wakiwemo Wahandisi wa Wizara hiyo wakiwapatia maelezo Viongozi wa Kampuni ya Dar-al handasa kutoka Cairo wakati walipokuwa wakiangalia Uwanja huo tayari kwa kufanya Upembuzi yakinifu ndani ya Kiwanja hicho .

Picha na Bakari Mussa Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.