Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Timu ya KVZ na Mafunzo Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0i.

Wachezaji wa Timu ya KVZ na Tomu ya Mafunzo wakiwa katikati ya Uwanja wa Amaan Zanzibar wakiomboleza kwa dakika moja kumuombea dua Askari wa Timu ya KVZ aliyefariki dunia. 
Mchezaji wa Timu ya KVZ kushoto Suleiman Hassan na mchezaji wa Timu ya Mafunzo Juma Othman wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana. 
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo kushoto Hassan Ahmada na mchezaji wa Timu ya KVZ kulia Seif Said wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo kushoto Hassan Ahmada na mchezaji wa Timu ya KVZ kulia Seif Said wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.


Mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo Ali Juma akimpita beki wa Timu ya KVZ  Saleh Rajab.

Mchezaji wa Timu ya KVZ Nassor Bakari akimpita mchezaji wa Timu ya Mafunzo Said Mustafa wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar iliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo Said Mustafa akimshika mchezaji wa Timu ya  KVZ Nassor Bakari wakati akimpita  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.