Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 28/10 /2017.
 Maafisa katika Idara za zilizochini ya Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 28/10 /2017.
 Baadhi ya Wakurugenzi katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 28/10 /2017. 

Waziri wa  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  Mhe.Moudline Syrus Castco (katikati) akisoma taarifa yake katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe. Shadya Mohamed Suleiman,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Fatma Gharib Bilal akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Mshauri wa Rais masuala  ya Wanawake na Watoto Bi. Zainab Omar Mohamed(kushoto), [Picha na Ikulu.] 24/10 /2017. 
Mshauri wa Rais Ushirkiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha  Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto),[Picha na Ikulu.] 28/10 /2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.