Habari za Punde

Timu ya Charawe Yakubali Kipigo Cha Bao 2--0,Dhidhi Ya Timu ya KMKM Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar., 23/10/2017.

Kizaza katika goli la Timu ya Charawe dhidi ya Timu ya KMKM wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KMKM imeshinda kwa mabao 2-0.
Mshambuliaji wa Timu ya KMKM akimiliki mpira huku mchezaji wa timu ya Charawe akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KMKM imeshinda 2--0.
Mchezaji wa Timu ya KMKM akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Charawe. wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar.  
Wapenzi wa Timu ya Charawe wakiwahamasisha wachezaji wao wakiti wakicheza na TYimu ya KMKM katika uwanja wa Amaan Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.