Habari za Punde

Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi akifuatana na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi wa pili kulia) akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017. 
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa  akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017. 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akibadilishana mawazo na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi baada ya mazungumzo na  Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.