Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar Wajumuika Katika Mazishi ya Marehemu Sheikh Burhani Iddi Katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Unguja leo.

Sheikh Khabit Nomal Jongoo akitowa maelezo kabla ya kuusalia Mwili wa Marehemu Sheikh Burhani Iddi iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar baada ya Sala la Adhuhur na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Unguja. 
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akiongoza Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Sheikh Burhan Iddi katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.