Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)
akiwasili kwa ajili ya kuzindua Filamu ya BEI KALI jana Jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fissoo na kulia ni Rais wa Shirikisho
la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)
akihojiwa mubashara kupitia televisheni ya Azam jana Jijini Dar es
Salaam wakati wa uzinduzi wa Filamu ya BEI KALI. kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu
Bibi. Joyce Fissoo, Kushoto ni muhusika mkuu katika filamu ya BEI KALI Bw. Simon
Mwapagata (Rado) na wa pili kushoto ni Rais wa Shirikisho la FilamuTanzania Bw. Simon
Mwakifwamba.
Waziri
waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)
akizungumzanamuhusikamkuukatikafilamuya BEI KALI Bw. Simon Mwapagata (Rado)
(wapilikushoto) baadayakuzinduanakuangaliasehemuya kwanza
yafilamuhiyojanaJijini Dar es Salaam. KulianiKatibuMtendajiBodiyaFilamu Bibi.
Joyce FissoonakushotoniRaiswaShirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon
Mwakifwamba
KatibuMtendajiBodiyafilamu
Bibi. Joyce Fissoo (kulia) akizungumzamubasharakupitiatelevisheniyaAzamwakatiwauzinduziwafilamuya BEI KALI
janaJijini Dar es Salaam
Waziri
waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(wapilikushoto)
akifuatiliakwamakinifilamuya BEI KALI wakatiwauzinduziwafilamuhiyojanaJijini
Dar es Salaam. WapilikulianiKatibuMtendajiBodiyaFilamu Bibi. Joyce
FissoonakushotoniRaiswaShirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba. Pichana:GenofevaMatemu - WHUSM
No comments:
Post a Comment