Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Kilimani City na Chuoni Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo Zimetoka Sare..0-0

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Chuoni aKitwana Hassan akimiliki mpira huku beki wa Timu ya Kilimani City Bahati Thoms akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana
Mshambuliaji wa Timu ya Chuoni Mustafa Zakaria akimpita beki wa Timu ya Kilimani City Bahati Thomas, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0.
BEKI wa Timu ya Kilimani City Josephat Joseph akiondoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Chuoni Haidar Islam akijiribu kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare 0-0.MCHEZAJI wa Timu ya Chuoni Ali Hilal akijaribu kumpita beki wa Timu ya Kilimani City Bahati Thoms wakati wa chezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare 0-0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.