Habari za Punde

Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho

Kocha Ramadhan Abdulrahman " Madundo"

Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Kocha msaidizi wa Kombain ya Unguja Ramadhan Abdurahman “Madundo” ametangaza kikosi cha wachezaji 22 chini ya miaka 23 ambacho kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) mchezo utakaopigwa kesho kutwa Alhamis Novemba 16, 2017 saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.

WALINDA MLANGO
Haji Juma "Chafu" (JKU)
Suleiman Omar (Chuoni)

WALINZI 
Hassan Chalii (Kipanga)
Mwinjuma Mwinyi (JKU)
Ali Juma "Mabata" (Taifa ya Jang'ombe)
Ali Humud "Balii" (Jang'ombe Boys)
Haji Chareli (Mlandege)
Abdul-swamad Brown (Villa United)

VIUNGO
Sued Juma (JKU)
Suleiman Hassan "Kede" (KVZ)
Othman Abdallah (KVZ)
Hussein Mwinyi "Decco" (Kilimani City)
Hassan Cheda (Zimamoto)
Is-haka Said (KMKM)
Hassan Nassor "Abal" (Villa United)
Haroun Abdallah "Boban" (Miembeni City)

WASHAMBULIAJI
Amour Ali (Ngome)
Ahmed Maulid (Mafunzo)
Hafidh Bariki "Fii" (Jang'ombe Boys)
Abdul-hamid Juma "Samatta" (Mlandege)
Hassan Ramadhan (Mlandege)
Suleiman Masoud (Kwerekwe City)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.