Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya Stone Town na Polisi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya Polisi Imeshinda Kwa Vikapu 57 - 44.

MCHEZAJI wa Timu ya Polisi Saleh Ali akiwa na mpira akijiandaa kutoa pasi huku mchezaji wa Timu ya Stone Town Foud Rashid akijianda kumzuiya wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya mpira wa kikapu uliofanyika uwanja wa  gymkhana Timu ya Stone Towan imeshinda kwa vikapu 57 - 44.WACHEZAJI wa Timu ya Polisi na Stone Town wakiwania mpira wakati wa mchezo huo wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana Timu ya Stone Town imeshinda kwa Vikapu 57 - 44.
MCHEZAJI wa Timu ya Stone Town Yassir Rashid akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Polisi Said Ali wakati wa mchezo huo wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa gymkhana Timu ya Stone Town imeshinda kwa vikapu 57 - 44

MCHEZAJI wa Timu ya Stone Town Juma Mbae akimpita mchezaji wa Timu ya Polisi Said Ali wakati wa mchezo huo wa ligi ya mpira wa kikapu kanda ya unguja mchezo uliofanyika uwanja wa gymkhana timu ya stone town imeshinda kwa vikapu 57  - 44.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.