Habari za Punde

Zanzibar Heroes Yaibuka na Ushindi wa Mabao 3 - 1 Dhidi ya Timu ya Rwanda


Kikosi cha Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes kilichoitoa kamasi Timu ya Taifa ya Rwanda katika mchezo wa Kombe la Chalenji michuano inayofanyika Nchini Kenya katika uwanja wa Machakosi na kuibuka na ushindi wa Mabao 3 - 1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.