Habari za Punde

Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba.

FISA Mdhamini Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata, akizungumza na masheha juu ya uwepo wa kamati za maafa za shehia, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Tasafa Mjini Chake Chake
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid, akizungumza na masheha wa Wilaya hiyo, wakati walipokuwa akikabidhiwa majukumu yao katika kukabiliana na maafa kwenye shehi 
 MRATIB wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Kisiwani Pemba, Khamis Arazak Khamis, akiwagawia mashesha muongoozo wa kamati za maafa za shehia.
 BAADHI ya masheha wa Wilaya ya Chake Chake wakifuaqtilia kwa makaini muongoza wa kamati za shehia za kukabiliana na maafa katika shehia zao.
SHEHA wa shehia ya Ndagoli Massoud,  akichangia katika kikao cha masheha na watendaji wa Kamisheni ya kukabliana na maafa Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.