Menu

Tuesday, January 23, 2018

Maji ya mvua yanavyowasaidia wananchi wa Kokota wilaya ya Wete



WANANCHI wa kisiwa cha Kokota wilaya ya Wete, wakiwa katika foleni kuteka maji ya mvua ambayo yamehifadhiwa katika hodhi maalumu, kwa ajili ya matumizi yao, ambapo suala la maji ya bomba kuwa ni ndoto kupata.(PICHA NA SAIDI ABRAHMANI, PEMBA).

No comments:

Post a Comment