WANANCHI wa kisiwa cha
Kokota wilaya ya Wete, wakiwa katika foleni kuteka maji ya mvua ambayo
yamehifadhiwa katika hodhi maalumu, kwa ajili ya matumizi yao, ambapo suala la
maji ya bomba kuwa ni ndoto kupata.(PICHA
NA SAIDI ABRAHMANI, PEMBA).
Sinzo Mgeja awaasa vijana nchini kutokubali kutumika
-
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, Sinzo Mgeja,
Na Mwandishi Wetu
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, Sinzo Mgeja, amewaas...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment