Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, wakipokelewa na Kiongozi wa Juu wa Serikali ya Abu Dhabi alipowasili katika Jengo la makadhi ya Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi
na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) kwa ajili ya mazungumza na Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiasalimiana na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi
na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu
Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika ukumbi wa makadhi
ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu
Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika ukumbi wa makadhi
ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.kushoto Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.
Baadhi ya Viongozi wa Juu wa Serikali ya Abu Dhabi wakihiudhuria mkutano huo wakiwa katika chumba cha mkutano katika Jumba la Makadhi ya Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)
Baadhi ya Viongozi wa Juu wa Serikali ya Abu Dhabi wakihiudhuria mkutano huo wakiwa katika chumba cha mkutano katika Jumba la Makadhi ya Mtukufu
Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiongozana na mwenyeji wake , Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,
Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi
vya (UAE), baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo
Nchini Abu Dhabi
Mtukufu
Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)akimtambulisha Mtoto Aaliyah Al
Mansoori kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohahed Shein, wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza
mazungumzo yao
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi
na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakitoka katika Jumba
la Kiongozi huyo baada ya kumaliza mazungumzo yao
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana
na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi
na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Kiongozi hiyo Nchini Abu Dhabi
No comments:
Post a Comment