Mabaki ya ndege ndogo aina ya Cherokee 140 iliyoanguka katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume leo jioni ilipokuwa ikijiandaa na safari yake ya Dar. na kuanguka na kuwaka moto. Rubani wa ndege pamoja na fundi aliekuwa katika ndege hii wamefariki dunia.
No comments:
Post a Comment