Meneja wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar ZSSF Tawi la Pemba Rashid Mohammed Abdallah (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10, Kwa Kamati ya Skuli ya Sekondari Kiwani Kisiwani Pemba, kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa ya Skuli hiyo makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa ZSSF Tibirizi Chakechake Pemba leo.
CAG AFANYA ZIARA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO
-
Na Hamis Dambaya, Ngorongoro.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Charles Kichere ametoa
wito kwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngo...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment