Habari za Punde

Mkutano wa pamoja kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji (SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)

 Katibu Mkuu Wzara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akisisitiza jambo katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.kulia yake ni  Katibu Mkuu  Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT)Dkt,Leornard Chamuriho.

 Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
 Katibu Mkuu  Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT) Dkt,Leornard Chamuriho, akifafanua baadhi ya hoja zilizotolewa  katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.

Katibu Mkuu Wzara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe na  Katibu Mkuu  Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT) Dkt,Leornard Chamuriho. wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa  Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.



PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.