Habari za Punde

Mkutano wa Team Libe Kampeni DMV Washington , Marekani 2018

Siku ya Jumapili March 18, katika ukumbi wa Mount rainier, Maryland, Team Libe walifanikisha azama juu ya mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Jumuiya Mpya ya Watanzania waishio DMV utakaofanyika siku ya Jumapili March 24, 2018

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.