Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja Kati ya KMKM na Kipanga Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KMKM Imeshinda Mchezo huo Bao 4-0.

MCHEZAJI wa Timu ya KMKM kulia Is-haka Said akijaribu kuzuima mpira huku beki wa Timu ya Kipanga Ahmed Suwed, akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kada ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.Timu ya KMKM imeshindamchezo huo kwamabao 4-0
 Beki wa Timu ya KMKM Ali Haji akiondoa mpira wakati wa mshambuliaji wa Timu ya Kipanga Ahmada Suwed akijaribu kumzuiya bila ya mafanikio wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kada ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 4-0.

MCHEZAJI wa Timu ya KMKM kulia Is-haka Said akijaribu kuzuima mpira huku beki wa Timu ya Kipanga Ahmed Suwed, akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kada ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.Timu ya KMKM imeshindamchezo huo kwamabao 4-0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.