Menu

Tuesday, May 8, 2018

Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja Kati ya Charawe na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao 5-0.

Mchezaji wa Timu ya JKU akiwa na mpira akiwapita wachezaji wa Timu ya Charawe wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU imeshinda bao 5-0.








No comments:

Post a Comment