Mchezaji wa Timu ya JKU akiwa na mpira akiwapita wachezaji wa Timu ya Charawe wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU imeshinda bao 5-0.
TUNAPASWA KUJENGA UKANDA WA SADC USIO NA RUSHWA-MAJALIWA *Asisitiza
kuendelea kusimamiwa kwa Itifaki ya SADC dhidi ya Rushwa.
-
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakuu wa Taasisi za Kupambana
na Rushwa wa Jumuiya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea
kusim...
40 minutes ago
No comments:
Post a Comment