Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara
ya uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania
Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai,
2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya mradi wa Kiwanda cha Majaribio cha
Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo
mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika
uwanja wa Shule ya Sekondari Likuyu mara baada ya uzinduzi wa Kiwanda cha
Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika
Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.
No comments:
Post a Comment