Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba wakati
alipowasili katika Ofisi hizo Posta Jijini Dar es Salaam kuzindua Mfumo Mkuu
Jumuishi wa Kibenki (iCBS) 
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakati alipowasili katika Ofisi
za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es Salaam kuzindua Mfumo Mkuu
Jumuishi wa Kibenki (iCBS) 
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua rasmi Makumbusho ya Benki Kuu ya
Tanzania yenye lengo la kuonesha historia na maendeleo ya Benki Kuu ya Tanzania
(BOT). Ufunguzi huo umefanyika wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa
Kibenki (iCBS) uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea Makumbusho ya Benki Kuu ya Tanzania
yenye lengo la kuonesha historia na maendeleo ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
mara baada ya Ufunguzi wa Makumbusho hayo uliyofanyika katika Ofisi za BOT,
Posta Jijini Dar es Salaam

Posta Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Maktaba Mtandao ya Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki
(iCBS) uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS)
katika hafla iliyofanyika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar
es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalum iliyotolewa na Benki
Kuu ya Tanzania kwa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) katika
hafla iliyofanyika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es
Salaam
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalum iliyotolewa na Benki
Kuu ya Tanzania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS)
katika hafla iliyofanyika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar
es Salaam.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS)
uliyofanyika katika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 30 Julai 2025.
No comments:
Post a Comment