Menu

Thursday, July 31, 2025

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tnzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Azindua Mfumo Mkuu wa Jumuishi wa Kibenki (iCBS)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba wakati alipowasili katika Ofisi hizo Posta Jijini Dar es Salaam kuzindua Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakati alipowasili katika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es Salaam kuzindua Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua rasmi Makumbusho ya Benki Kuu ya Tanzania yenye lengo la kuonesha historia na maendeleo ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Ufunguzi huo umefanyika wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea Makumbusho ya Benki Kuu ya Tanzania yenye lengo la kuonesha historia na maendeleo ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) mara baada ya Ufunguzi wa Makumbusho hayo uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua rasmi Makumbusho ya Benki Kuu ya Tanzania yenye lengo la kuonesha historia na maendeleo ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Ufunguzi huo umefanyika wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea Makumbusho ya Benki Kuu ya Tanzania yenye lengo la kuonesha historia na maendeleo ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) mara baada ya Ufunguzi wa Makumbusho hayo uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Maktaba Mtandao ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) uliyofanyika katika Ofisi za BOT, Posta Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) katika hafla iliyofanyika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalum iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) katika hafla iliyofanyika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalum iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) katika hafla iliyofanyika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS) uliyofanyika katika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Posta Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai 2025.




No comments:

Post a Comment