Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Kwala mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga bendera (flag off) kuashiria uzinduzi rasmi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwenye hafla fupi iliyofanyika katika eneo la Marshalling Yard, Kwala Mkoani Pwani 






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala (Kwala Dry Port) iliyopo Kwala Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.



















 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.