Habari za Punde

Matukio ya Picha Mitaani Zenj.

Mradi wa ufunguzi wa camera katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar ukiendelea ili kuimarisha mindombinu ya usalama katika maeneo ya barabara za Mjini ni na vijiji.kama wanavyoonekana pichani wakiendelea na ufungaji huo.wakiwa katika barabara ya Maisara wakiendelea na zoezi hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.