Menu

Sunday, May 6, 2018

Mchezo wa Ligi ya Kuu Daraja la Kwanza Taifa Kati ya Kizimkazi na Villa United Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Villa United Imeshinda Bao 1-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Villa United FC. Mohammed Mussa akimpita beki wa Timu ya Kizimkazi wakati wa mchezo wao wa Ligi Daraja la Kwanza Taifa uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Villa United FC (Mpira Pesa ) imeshinda kwa bao 1-0. 








No comments:

Post a Comment