Habari za Punde

Ujumbe wa Baraza la Habari Tanzania MCT Watembelea Ofisi za Gazeti la Serikali la Zanzibar leo. Kisiwani Pemba.

MDHAMINI wa Shirika la Magazeti ya Serikali  Zanzibarleo Ofisi ya Pemba,Ndg. Bakari Mussa Juma, akizungumza na Watendaji Wakuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ujumbe huo ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga wakimsikiliza Afisa hiyo akitowa maelezo wakati walipotembelea Afisi za Gazeti hilo la Zanzibar Leo kisiwani Pemba wakati wa ziara yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.