6/recent/ticker-posts

Msimu wa Utalii Visiwa Vya Zanzibar Unaaza

Baadhi ya Boti za kusafirishia Watalii kutembelea sehemu za Historia ya Zanzibar katika Visiwa vya Bawe, Prison na mafungua ya mchanga bahari zikiwa katika eneo la ufukwe wa pwani ya Forodha Mchanga wakisubiri wateja wao.

Post a Comment

0 Comments