Habari za Punde

NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji NBC Bw.Theobald Sabi wakati alipofika Zanzibar Beach Resort jana katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC hapa Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akichukua chakula cha futari iliyoandaliwa na  Benki ya NBC hapa Zanzibar katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort jana (kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakichukua chakula cha futari iliyoandaliwa na  Benki ya NBC hapa Zanzibar katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Wateja wa Benki ya NBC hapa Zanzibar walioalikwa katika futari iliyoandaliwa jana katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha na Uongozi wa Benki ya NBC mara baada ya Futari waliyoiandaa jana katika
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,akiwepo na 
Mkurugenzi wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein(wa tano kushoto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Benki ya NBC mara baada ya Futari waliyoiandaa jana katika 
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,hafla iliyohudhuriwa na Viongozi mbali mbali na Wananchi
,[Picha na Ikulu] 02/06/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.